Wanawake kushirikishwa katika maamuzi muhimu

  • | KBC Video
    4 views

    Mama wa taifa Rachel Ruto ametoa wito wa kupatikana kwa suluhu za haraka katika maswala ya utamaduni , kiuchumi na kijamii ili kufanikisha utekelezaji wa haki za mtoto wa kike pamoja na wanawake nchini. Akiongea wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wanawake wa siku tatu jijini Nairobi, mama wa taifa alisisitiza kujitolea kwa serikali kuhakikisha wanawake wanahusishwa wakati wa kufanya maamuzi nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive