WASHIKADAU WAKONGAMANA KILIFI KUJADILI SULUHU ASILIA LA KUKABILIANA NA ATHARI YA MABADILIKO YA TABIA

  • | KNA Video
    86 views
    Huku athari za mabadiliko ya tabia nchi zikiendelea kushuhudiwa kila uchao ulimwenguni, mikakati inaendelea kuwekwa ili kukabiliana na athari za mabadiliko hayo.