Watu watatu waangamia kwenye ajali ya barabara Limuru

  • | KBC Video
    92 views

    Watu watatu waliaga dunia na wengine kadhaa wakajeruhiwa vibaya kufuatia ajali iliyohusisha gari la abiria14 na lori aina ya Canter kwenye barabara ya kutoka Nairobi kuelekea Nakuru.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive