Watu watatu wafariki kwenye ajali eneo la Manguo

  • | Citizen TV
    7,964 views

    Watu watatu wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa vibaya katika ajali iliyotokea katika eneo la Kwambira huko Manguo katika barabara kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru