Wazee walenga kufunza vijana maadili ya jamii Malindi

  • | Citizen TV
    116 views

    Jamii ya Agikuyu katika eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi imeandaa sherehe ya kuenzi mila na tamaduni zao kama njia mojawapo ya kuendeleza mafunzo na desturi ya jamii hiyo