Waziri mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina amejiuzulu

  • | Citizen TV
    7,117 views

    Waziri mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina amejiuzulu. Hasina amejiuzulu na kutorokea katika nchini India baada ya waandamanaji kuingia katika ikulu Dhaka.