Wizara ya Usalama wa ndani haijatoa taarifa kuhusu wakenya waliotoweka baada ya maandamano ya Gen Z

  • | NTV Video
    941 views

    Wizara ya Usalama wa ndani inasema kwamba wakenya wanatarajiwa kuwa na Krismasi yenye amani na usalama. Hata hivyo ni sadfa kubwa kwamba serikali bado haijatoa taarifa kwa wakenya ambao walitoweka na kuchukuliwa na watu wanaodaiwa kuwa polisi ambao idadi yao kwa sasa ni sabini na wawili. Mwanahabari wetu Brian Muchiri na taarifa ya hali halisi ya usalama nchini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya