Mkanganyiko unaendelea katika shule zilizofungwa

  • | Citizen TV
    242 views

    Hali ya wasiwasi na mkanganyiko inaendelea kughubika shule ambazo zimeamrishwa kufungwa na wizara ya elimu kwa kukosa kutimiza viwango vilivyowekwa. Wadau mbalimbali katika wizara ya elimu wakisema hatua ya kufunga sehemu za bweni katika zaidi ya shule 300 iliharakishwa bila ushauri wa kutosha.