Moto mkubwa waendelea kuteketeza maeneo ya malisho katika eneo la Merti, kaunti ya Isiolo.

  • | K24 Video
    37 views

    Moto mkubwa unaendelea kuteketeza maeneo ya malisho katika eneo la Merti, kaunti ya Isiolo. moto huu uliozuka siku tatu zilizopita umeteketeza zaidi ya kilomita kumi za viwanja vya malisho. Muungano wa wazee, wakazi, na wanaharakati wa haki za binadamu kutoka kaunti hii umewasilisha ombi la dharura kwa serikali ya kaunti na ile ya kitaifa kuchukua hatua za haraka kudhibiti moto huu.