Biashara I Kenya yapongeza nia ya Marekani ya kuuza mafuta ghafi

  • | KBC Video
    142 views

    Gavana wa benki kuu ya Kenya Dkt. Kamau Thugge amesema tangazo lilitolewa na rais wa Marekani Donald Trump la kuongeza uzalishaji na uuzaji ng'ambo wa mafuta ghafi, utasaidia kupunguza bei ya mafuta, hali ambayo itasaidia kupunguza kiwango cha mfumuko wa bei humu nchini. Dkt. Thugge amesema ongezeko la uzalishaji wa mafuta ghafi nchini Marekani huenda likachangia kupungua kwa bei ya mafuta kote duniani, hivyo basi kupunguza bei ya mafuta hapa nchini. Taarifa kamili ni kwenye mseto habari za uchumi na biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive