Familia Narok yaidai haki baada ya kifo cha mke katika hali ya kutatanisha

  • | NTV Video
    95 views

    Familia ya Joel Kipkosgei Chirchir kutoka Kijiji cha Osotua-Nkoben huko Narok Kusini inadai haki kufuatia kifo cha mkewe, Elizabeth Chirchir, aliyeaga dunia katika hali ya kutatanisha iliyohusishwa na vita vya kisheria vilivyodumu kwa muda mrefu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya