Waisilamu hutumia tende zaidi mwezi wa Ramadhan

  • | Citizen TV
    188 views

    Baraza la maimamu na wahubiri nchini CIPK sasa linaitaka serikali kuondoa ushuru wa tende wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhan unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao