Gavana wa Kwale Fatuma Achani asitisha ugavi wa basari kwa wanafunzi kufuatia agizo la mahakama

  • | TV 47
    20 views

    Gavana wa Kwale Fatuma Achani asitisha ugavi wa basari kwa wanafunzi kufuatia agizo la mahakama.

    Utoaji wa basari na serikali za kaunti wapigwa breki na shirika la Katiba Institute.

    Takriban wanafunzi 16,805 wa shule za upili na vyuo vikuu wataathirika Kwale.

    Serikali ya Kwale yatenga bajeti ya shilingi milioni 500 kufadhili masomo ya wanafunzi.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __