Vyombo vya jikoni kwako vinaweza kuwa na madhara kiafya?

  • | BBC Swahili
    3,939 views
    Je unajua kuwa vyombo vya jikoni kwako vinaweza kuwa na madhara kiafya kwako na familia yako? Usijali, katika video hii tunaviangalia baadhi na jinsi ya kuweza kuepuka madhara yake ikiwemo saratani. TAZAMA video hii ya Mwandishi wa BBC Seif Abdallah ikiwa na maelezo kwa kina, 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #afya #familia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw