Waumini waendelea kuutazama mwili wa Papa

  • | Citizen TV
    505 views

    Mamia ya waumini na mahujaji wanazidi kumiminika katika kanisa la St. Peters basilica kuutazama mwili wa Papa Francis na kumpa heshima zao za mwisho