Madaktari kaunti ya Nandi waandamana wakilalamikia kucheleweshwa kwa mishahara

  • | Citizen TV
    111 views

    Madaktari kaunti ya Nandi wameandamana hadi afisi za gavana wa kaunti hiyo Stephen sang wakilalamikia kucheleweshwa kwa mishahara yao