- 1,375 viewsMwanamke aliyepewa uraia wa Marekani akiwa na umri wa miaka 89 awasihi wahamiaji wanaokuja Marekani kufuata taratibu na kuheshimu sheria za nchi. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Mwanamke apata uraia wa Marekani akiwa na umri wa miaka 89
- - Duniani Leo ››
- 24 Dec 2024 - Conflicting perceptions and interests often challenge our national unity, creating division rather than harmony.
- 23 Dec 2024 - Clerics from President William Ruto’s home area have told off their colleagues who are against politicians giving churches money. The men of the cloth spoke when President Ruto attended a service at African Inland Church (AIC) Kipkorgot, in Uasin Gishu…
- 23 Dec 2024 - Guatemalan authorities rescued 160 children and adolescents from the fundamentalist Jewish sect Lev Tahor in southeastern Guatemala on Friday following allegations of child abuse, including rape, prosecutors said.
- 23 Dec 2024 - The head of a Canadian political party that has been keeping Prime Minister Justin Trudeau in power said on Friday he would vote in favor of a motion of no-confidence, opens new tab, effectively assuring the Liberals will be removed from power early…
- 23 Dec 2024 - In the run-up to the Paris 2024 Summer Olympics, the spotlight on Kenya was firmly shone on Eliud Kipchoge and Faith Kipyegon. The Rio 2016 and Tokyo 2020 champions were chasing history in France – the honour of becoming the first three-peat Kenyan…
- 23 Dec 2024 - The workers staged a peaceful demonstration, accusing the government of neglecting their plight and failing to honor promises to address their grievances.
- 23 Dec 2024 - A packed bus collided with a truck and burst into flames early on Saturday in Brazil, killing more than 30 people, the fire department said.
- 23 Dec 2024 - Speaking in Uasin Gishu County on Sunday when he attended a church service, Ruto explained the journey to yet another handshake, months after his previous one with his political nemesis, former Prime Minister Raila Odinga.
- 23 Dec 2024 - CS Ogamba challenges sponsors to provide more scholarships
- 23 Dec 2024 - Sky-high living cost puts brakes on upcountry Christmas travel