Dkt. Caroline Karugu na Judith Pareno wamehojiwa

  • | Citizen TV
    129 views

    Kamati ya ulinzi na masuala ya kigeni imewahoji Dkt. Caroline Wanjiru Karugu, ambaye aliteuliwa na Rais William Ruto kuwa katibu katika Wizara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, na Judith Pareno, ambaye ameteuliwa kuwa katibu katika idara ya haki na masuala ya katiba