Familia yadai fidia kutoka kwa serikali baada ya jamaa yao kuangamia kwenye mkasa wa 'ferry' Mtongwe

  • | Citizen TV
    563 views

    Familia Nyamira yadai fidia ya mkasa wa mtongwe 1994 familia yadai waliwasilisha stakabadhi lakini hawajafidiwa