Gavana Sakaja asema hatalegeza kamba kuhakikisha Nairobi ni safi

  • | TV 47
    96 views

    Gavana Sakaja asema hatalegeza kamba kuhakikisha Nairobi ni safi.

    Sakaja awaomba wafanyakiza wa Green Army kutochoka kuwahudumia wana Nairobi.

    Sakaja amejitwika jukumu la kuongoza shughuli ya kusafisha jiji kila Jumapili usiku.

    Shughuli hiyo imeleta mpangilio katika jiji kwani wachuuzi wametengewa maeneo yao.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __