Isaac Mwaura : Wale walimu ambao wanashikilia form 4 certificates kwa sababu ya karo ni hatia

  • | KBC Video
    46 views

    GOVERNMENT SPOKESPERSON BRIEFING

    Mwaura : Wale walimu ambao wanashikilia form 4 certificates kwa sababu ya karo, hiyo ni hatia. Hata ukikaa nazo miaka 10 hautafaidika, mtoto yeyote ana haki ya kupata cheti chake ili aweze kujiendeleza kimasomo.

    #KBCniYetu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News