Kesi ya ada ya umiliki wa ardhi katika kaunti ya Kajiado kuamuliwa hivi karibuni

  • | Citizen TV
    680 views

    Kesi iliyowasilishwa kortini kuhusu ada kwa wamiliki wa mashamba Kajiado Kaskazini na Kajiado Mashariki, itaamuliwa tarehe 26 ya mwezi huu Hakimu Loice Komingoi ametoa uamuzi huu kwenye kesi ambapo wamiliki wa mashamba haya wanapinga amri ya kukamatwa kwao endapo watakosa kulipa ada mpya zilizowekwa na serikali ya kaunti.