'Kuzuia mfumuko wa bei… Niliweka amri ya kusitisha kanuni ya serikali kuu...'

  • | VOA Swahili
    67 views
    Rais Donald Trump alisema katika mkutano wa CPAC 2025, “kuzuia mfumuko wa bei kwa kukata matumizi niliweka sitisho la ajira mara moja, serikali kuu, kusitisha kanuni ya serikali kuu.” Mkutano wa Hatua za Kisiasa wa Wa-Conservative 2025, CPAC, unaandaliwa kila mwaka na moja ya taasisi kongwe za kisiasa nchini Marekani, American Conservative Union wakiwa na mamlaka ya kuwaleta pamoja viongozi kwa mawasiliano. #trump #aid #voa