Matatu iliyohusika katika ajali Bomet ilikuwa imebeba watu 20

  • | Citizen TV
    508 views

    Sasa imebainika kuwa Matatu iliyohusika kwenye ajali iliyosababisha vifo vya watu 15 Jumamosi huko Bomet, ilikuwa imebeba abiria kupita kiasi