Rais William Ruto leo amekuwa na mkutano wa baraza la mawaziri katika ikulu ndogo ya Kakamega

  • | Citizen TV
    1,653 views

    Rais William Ruto leo amekuwa na mkutano wa baraza la mawaziri katika ikulu ndogo ya Kakamega, ambako anaendelea na ziara yake iliyoanza jumapili, katika eneo hilo la Magharibi.