Umuhimu wa miti : Java House kupanda miti shuleni Kiambu

  • | KBC Video
    4 views

    Kampuni ya Java House, kwa ushirikiano na mashirika ya Tukalime, Munzer Kenya na Food For Education inapania kupanda miche ya miti 6,000 katika shule 14 kwenye kaunti ya Kiambu kama sehemu ya kuhifadhi mazingira. Mradi huo uliopewa jina ‘Trees For Tomorrow’ ulizinduliwa wakati wa shughuli ya upanzi miti katika shule ya msingi ya Manguo huko Limuru.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News