'Vijana wa Kitanzania wajifunze mafanikio ya vijana na nni kinapungua Kenya'

  • | BBC Swahili
    14,913 views
    Maandamano yaliyoongozwa na vijana nchini Kenya yalivutia wengi duniani kufuatilia kinachoendelea. Maandamano hayo yamefanikiwa kumshinikiza Rais William Ruto kuvunja baraza lake la mawaziri na kutekeleza baadhi ya madai ya vijana hao. Kwa nchi za Jirani kama Tanzania zinazofuatilia kinachoendelea Kenya, kuna lolote wanaloweza kujifunza? Mwandishi wa BBC Sammy Awami @sammyawarmi amezungumza na Rakesh Rajan mwanzilishi na kiongozi wa mashirika kadhaa ya kiraia kama Kuleana, Haki Elimu, Uwezo na Twaweza East Africa. Kutazama mahojiano haya kwa urefu zaidi tembelea ukurasa wa YouTube wa BBCSwahili #bbcswahili #tanzania #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw