Vijana wahamasishwa kuhusiana na mafunzo ya kiufundi

  • | Citizen TV
    112 views

    Zaidi ya vijana 300 waliomaliza kidato cha nne kutoka eneo la Mugirango Kusini kaunti ya Kisii wamenufaika na hamasisho kuhusu umuhimu wa kozi za kiufundi katika taasisi mbalimbali