Vuta nikuvute yaendelea katika bunge la kaunti ya Nyamira kufuatia mzozo wa uongozi unaoendelea

  • | Citizen TV
    191 views

    Vuta nikuvute ingali inashuhudiwa katika bunge la kaunti ya Nyamira, kufuatia mzozo wa uongozi unaoendelea.