Wajane Nyanza wapokea msaada wa fedha na nyumba

  • | KBC Video
    10 views

    Wajane kutoka kaunti mbali mbali eneo la Nyanza wajengewa makazi na kupokea usaidizi wa kifedha kutoka wakfu wa kibinafsi uliojitolea kuwasaidia wajane. Kwa mujibu wa mshirikishi wa mipango katika wakfu wa Raymond Omollo, Peterlis Ogendo, hatua hiyo inayotekelezwa chini ya mkakati wa kuwawezesha wajane inanuiwa kuwapunguzia dhiki wajane katika jamii. Alisema kuwa lengo la mpango huo ni kuwapa matumaini wajane na familia zao kwa kuwapa makazi, fedha za kuanzisha biashara na pia basari.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive