Wakaazi wa kijiji cha Mbugiti, Gatanga wapata msaada wa ujenzi wa barabara

  • | Citizen TV
    143 views

    Wakaazi wa kijiji cha Mbugiti eneo mbunge la Gatanga wamenufaika na mchango wa chakula na bidhaa zinginezo za matumizi kutoka kwa kampuni moja ya ujenzi wa barabara.