Walimu wa Pwani wasema bima ya afya haifanyi kazi

  • | Citizen TV
    132 views

    Viongozi wa chama cha walimu KUPPET kanda ya Pwani wanatishia kuanzisha maandamano ili kulalamikia kukwama kwa bima ya matibabu ya waalimu mkoani