Wanawake walalamika kutelekezwa na waume wao

  • | KBC Video
    6 views

    Wanawake walio na watoto wenye ulemavu katika eneo la Mpeketoni kaunti ya Lamu wametoa wito hatua za haraka ili kuboresha maisha yao na kuhakikisha watoto hao wanapata mahitaji ya kimsingi ikiwemo elimu. Akina mama hao wamesema kuwa wanatelekezwa na kuachwa na waume zao pindi wanapojifungua na hivyo kulazimika kuishi maisha magumu yenye ufukara tele.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive