Wito wa kukomesha utekaji nyara nchini wazidi kushika kasi

  • | K24 Video
    66 views

    Wito wa kukomesha utekaji nyara nchini unazidi kushika kasi, huku maaskofu wa kanisa katoliki wakikashifu ongezeko la visa vya vijana kupotea. Kanisa limehimiza uongozi wa nchi kukabiliana na tatizo hili na kutoa majibu kwa umma.