Serikali yaagiza kufungwa kwa shule-348 za bweni

  • | KBC Video
    12 views

    Wizara ya elimu imefafanua kuwa ni kitengo cha bweni pekee katika shule za msingi ambacho kinazungumziwa kwenye agizo la kufungwa kwa shule kwa kutozingatia viwango vya usalama, na wala sio shule nzima. Hii ni baada ya wizara hiyo kuagiza kufungwa mara moja kwa mabweni katika shule 348 za msingi kote nchini, kwa kushindwa kuafikia viwango vinavyohitajika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive