Wakenya washauriwa kukumbatia upatanishi badala ya korti

  • | Citizen TV
    218 views

    Kufuatia ongezeko la kesi katika mahakama za kenya na kujikokota kwa uamuzi wa kesi hizo, wakenya wametakiwa kukubatia utatuzi wa mzozo kupitia njia za upatanishi.