Oparesheni huenda ikasitishwa kufuatia hatua ya Rais Trump

  • | Citizen TV
    2,484 views

    Zaidi ya dola milioni 13 za ufadhili unaotolewa na Marekani kwenye operesheni ya kiusalama ya kimataifa ya kupambana na magenge ya Haiti umesitishwa kwa muda wa siku 90