Tanui:Nahimiza wahusika kwenye radio waendeleze msingi mzuri ambao waanzilishi kama Mbotela waliweka

  • | KBC Video
    15 views

    Tanui : Miaka michache iliyopita tumekuwa na 'digital migration' katika sekta ya radio. Hili wiki la siku ya radio duniani, tunatakwa kuwahimiza wahusika wote waendeleze msingi mzuri ambao waanzilishi kama Leonard Mambo Mbotela waliweka.