Tanui: Tunapoadhimisha siku ya radio duniani, tupande miti kwa sababu mada ni 'climate change'

  • | KBC Video
    10 views

    Tanui : Kuna changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi, ndio maana serikali ilianzisha mradi wa kupanda miti bilioni 15 mwaka wa 2022. Tutumie hii wiki ya kuadhimisha siku ya radio duniani kupanda miti kwa sababu mada ni 'climate change'