Wananchi wataweza kupata habari za ardhi mtandaoni

  • | Citizen TV
    142 views

    Serikali ya kaunti ya Makueni leo imeimarisha mikakati ya kulainisha shughuli za ardhi kwa kuzindua mtandao wa kutoa huduma za ardhi kwenye kaunti hiyo