Washikadau wa sekta mbalimbali wakongamana Kisii

  • | Citizen TV
    102 views

    Washikadau kutoka sekta mbalimbali wanakongamana mjini Kisii kutoa hamasisho kuhusu tatizo la Kifafa, huku ulimwemgu ukiadhimisha siku hiyo. Katika hafla hiyo ripoti kuhusu ugonjwa huo pia inatolewa rasmi hii leo kwa wenyeji wa kaunti ya Kisii