Wafugaji kutoka eneo la Tula, Tana River walalamikia athari za uchimbaji wa madini ya Chokaa

  • | Citizen TV
    245 views

    Wafugaji Kutoka Eneo La Tula Kaunti Ya Tana River Wanalalamikia Athari Za Uchimbaji Wa Madini Ya Chokaa Katika Eneo Hilo Wakisema Mashimo Yaliyoachwa Wazi Yamesababisha Vifo Vingi Vya Mifugo Wao Pamoja Na Wanadamu .