Mwananchi wa DRC awataka Kabila na Kagame kutafuta suluhu

  • | VOA Swahili
    38 views
    Wakati Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi akisisitiza ombi lake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kuwekewa vikwazo wale wote wanaohusika na uhalifu wa kivita na dhidi ya ubinadamu katika hotuba yake aliyoitoa Jumatano kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la UN, New York Marekani. Na pia akiridhia vikwazo ambavyo vimewekwa dhidi ya Rwanda kwa kukiunga mkono kikundi cha magaidi cha M23, bado wananchi wa Congo wanasema wanamtaka atafute suluhu na mwenzake Rais Paul Kagame wa Rwanda. Sikiliza mahojiano kamili… Picha na mahojiano na mwandishi wa VOA Austere Malivika, DRC #un #unga #kikaocha79 #paulkagame #felixtshisekedi #wananchi #drc #vita #voa #voaswahili #suluhu