| JUKWAA LA AFYA | Magonjwa Yanayosambazwa na Wanyama [Part 2]

  • | Citizen TV
    80 views

    Je, unafahamu magonjwa ya wanyama yanayoathiri watu? Ugonjwa wa kichaa cha mbwa husambazwa mtu akiumwa Popo pia wanaweza kusambaza kicha cha mbwa Ndege wanaofugwa nyumbani pia husambaza magonjwa Ugonjwa unaosambazwa na ndege wa kufugwa ni "psittacosis" Paka husambaza ugonjwa wa "cat scratch disease" Ugonjwa wa "Cat Scratch Disease" husababisha kujikuna Ugonjwa huu husambazwa kwa kuumwa au kukwangurwa "Trichinosis" husababishwa na kula wanyama wa porini Ugonjwa wa kichaa cha mbwa hauna tiba ulimwenguni Mtu anaweza kupewa dawa kuzuia tu maumivu makali Mtu aliyepata kichaa cha mbwa mwishowe hufariki Ugonjwa wa kimeta pia unaweza kusambazwa kwa watu Ulaji wa nyama iliyo na kimeta ni hatari kwa binaadamu