Mamlaka ya kuthibiti bei ya mafuta EPRA imewahakikishia wakenya kutoathiri pakubwa bei ya mafuta

  • | Citizen TV
    632 views

    Mamlaka ya kuthibiti bei ya mafuta EPRA imewahakikishia wakenya kuwa pendekezo la kampuni ya kusambaza mafuta Kenya Pipeline ya kupanua miundumsingi wake wa mafuta hautaathiri pakubwa bei ya mafuta nchini