Idara ya afya Bungoma imekamilisha mikakati ya kuwapa watoto chanjo ya polio

  • | Citizen TV
    76 views

    Idara ya afya ya kaunti ya Bungoma imekamilisha mikakati ya kuwapa watoto walio chini ya umri wa miaka kumi chanjo ya polio, mkurugenzi wa afya katika kaunti hiyo dakta Caleb Watta, anasema wanalenga kutoa chanjo kwa watoto zaidi ya laki saba