Gen Z waapa kuendeleza maandamano hapo kesho kupinga kukithiri kwa visa vya utekaji nyara

  • | K24 Video
    287 views

    Vijana wa Gen Z wameapa kuendeleza maandamano hapo kesho kupinga kukithiri kwa visa vya utekaji nyara katika serikali ya Kenya Kwanza. Kupitia jumbe mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii wengi wameonekana kughathabishwa na baadhi ya kauli za viongozi wanaonekana kushabikia hatua hiyo. Maandamano haya yanajiri wakati ambapo shule zinatarajiwa kufunguliwa na matokeo ya mitihani wa kitaifa yakitarajiwa kutangazwa.