Baraza la makanisa lataka tume ya IEBC kubuniwa

  • | KBC Video
    91 views

    Baraza la makanisa hapa nchini limetoa makataa ya wiki mbili kwa mahakama na bunge kutatua hali iliyopo kuhusu kubuniwa upya kwa tume huru ya uchaguzi na mipaka, au wawahamasishe wakenya kuchukua hatua.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive