Batuk, mabinti na haki | Wanajeshi wa Uingereza wanadaiwa kuwadhulumu raia

  • | Citizen TV
    823 views

    Kwenye sehemu ya pili ya makala ya Batuk, mabinti na haki , Seth Olale anaangazia safari ya kutafuta haki ya waathiriwa wanaodai kunajisiwa, kudhulumiwa na kuuwawa na wanajeshi wa uingereza- Batuk- katika kaunti za Laikipia na Samburu.