Biashara I Hifadhi na maeneo sita ya viwanda katika kaunti kuzinduliwa mwaka huu

  • | KBC Video
    28 views

    Takriban hifadhi na maeneo sita ya viwanda katika kaunti yatazinduliwa kufikia mwishoni mwa mwaka huu, ikiwa serikali ya kitaifa na zile za kaunti zitaondoa changamoto katika uuzaji, uzalishaji na pengo katika sera. Katika mkutano na magavana, Naibu Rais Kithure Kindiki, aliongeza kuwa serikali ya kitaifa na zile za kaunti, zinafaa kushirikiana katika kuangazia changamoto za utekelezaji kwenye kila kaunti. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa taarifa za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive